4 sure nikimzungumzia Wastara juma huwa nalenga kwenye filamu zake na uwezo alionao kiukwel anafanya vizuri sana kwenye industry ya bongo na ndie msichana pekee ambaye nikiangalia filam zake lazima nilie yaani automatic machozi yananitoka i dnt know y!!bt ni kwa vile anabeba hisia kiukweli......
No comments:
Post a Comment